Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
TENDER OPENING SEREMONY EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
TENDER OPENING SEREMONY EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
TENDER OPENING SEREMONY EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
TENDER OPENING SEREMONY EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
TENDER OPENING SEREMONY EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
TENDER OPENING SEREMONY EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
TENDER OPENING SEREMONY EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
TENDER OPENING SEREMONY EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
TENDER OPENING SEREMONY EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

April 2024
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930     

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 6 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 6 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

TENDER OPENING SEREMONY

3 posters

Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty PROCUREMENT NI CHANZO CHA KUPOTEA PESA NYING ZA WALIPA KODI

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir Sat Dec 14, 2013 2:38 pm

Nadhani mnaelewa kuwa sasaivi bunge la tanzania linaijadili sana kua kuepo kwa sheria ya manunuzi tanzania imekua ndoo chanzo cha kupotea kwa pesa nyingi za seikali. wanadai kua baadhai ya procurememnt methods"QOUTATIONS" zimekua zikitumika sana ikiwa kama njia ambayo maafisa wanunuzi hujinufaisha wao binafsi.
1)ukiwa kama mtaalamu wa manunuzi unalishauri nni bunge juu ya wazo lililopelekwa bungeni la kufuta manunuzi ya kotesheni.
2)nni ifanyike unadhani kupunguza dhana za wizi kwa maafisa wanunuzi?
3)chanzo na sababu za kupotea pesa ni zipi? tufanyeje kuziondoa changamoto ktika manunuzi

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 39
Location : Zanzibar

http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  Rutaihwa Wed Nov 20, 2013 8:48 pm

id2013
Nisawa zabuni zote zilizopokelewa kabla ya muda lazima zifunguliwe.Aidha,zabuni zinapashwa kuwasilishwa kadri ya maelekezo uliyoyatoa kwenye kabrasha la mwaliko Reg 83 (1)(M) GN 97, Vile vile Zabuni ziwasilshwe kwa adress

Katika mwaliko wa Zabuni Tunaeleza wazi wazi kuwa aoneshe juu ya Bahasha zabuni husika na kuwa inakwenda kwa nani na kwa kuongezea kuwa isifunguliwe kabla ya muda fulani. Yote haya si kwaajili ya kujifurahisha bali ni kwa ajili ya kuepuka kufungua kabrasha/barua isiyohusika.
Hivyo Basi kabrasha hilo halina sifa za kufunguliwa kisheria kulingana na maagizo ya Tangazo.

Kiubinadamu unaweza ukawaeleza waliohudhulia kuwa katika Sanduku la Zabuni mmekuta kabrasha ambalo halina anuani kwa juu nakuwaomba lifunguliwe ili mjue linahusu nini na mkikuta nila zabuni husika basi ikubaliwe kuorodheshwa katika zabuni husika wakikataa sawa/wakikubali sawa endelea na kuhakikisha hayo yote unayaandika kwenye muhtasari wa ufunguzi
Hali hiyo ni kwasababu ulikuwa na Zabuni Zinazofunguliwa siku moja. Ungekuwa na zabuni zinazofunguliwa tarehe tofauti katika box ilo huna haja ya kuumiza kichwa Weka pembeni haifunguliwi.

Nawsilisha

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 57

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  id2013 Wed Nov 20, 2013 2:39 pm

Rutaihwa,
Maelezo yako mazuri sana jinsi ulivyomwelekeza Zuberi na kueleza kwenye forum hii, lakini swali jingine ni kwamba tuchukulie kwamba mwakilishi wa kampuni ambalo bahasha yake haikuwa addressed vizuri hakuhudhuria kwenye ufunguzi, Je kwa maelezo ya awali ni kwamba haitafunguliwa?, na kwamba itakuwa rejected na kurudishwa? ama itakuwaje kwa mleta mada ndio ilikuwa tatizo kwake.

Kwa upande wa Bwn Zuberi je alizingatia katika taratibu za kupokea zabuni kwa mujibu wa Regulation 86(3)(c) soma pamoja ya Regulation ya 89 (2-5)/GN No. 97, 2005 na kwamba hapo angebaini ni nani na katika orodha ya ununuzi wa zabuni angekuwa nayo na kujua ni zabuni ya aina gani.

Ninavyofahamu mimi ni kwamba zabuni zote zilizopokelewa kabla na ndani ya muda uliohitajika ni lazima zifunguliwe zote na kwamba hakuna zabuni ambayo unaweza kuwa usiifungue maadamu itakuwa imewasilishwa kwa muda, soma Regulation 89 (8-9)/GN No. 97, 2005, vinginevyo itakuwa na minor error tu ambazo mtazi-wave. La msingi ni kuwa na ushahidi wa wajumbe kama ulivyoshauri Rutaihwa kwamba washuhudie wajumbe wote wakati wa ufunguzi na kwamba risk ya bahasha hiyo kutokuandikwa iko mkononi mwa aliyewasilisha zabuni hii.

kwa machache hayo Nawasilisha.

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  Rutaihwa Wed Nov 20, 2013 1:48 pm

Mr Zubeir
Kimsingi maelekezo uliyoyatoa ulikuwa sawa hivyo mwombaji anapaswa kufuata maelekezo hayo na kubainisha ni zabuni namba ngapi aliyoomba. Hivyo hilo kabrasha lililowekwa kwenye box la Zabuni halihusiani na zabuni unazotakiwa kufungua na haupaswi kulitoa kwenye box siku hiyo na kulipeleka kwenye ukumbi wa ufunguzi. Kwa kusaidia zaidi wakati wakutoa Makabrasha kwenye box ni vizuri kabla yakuyatoa uwe unaambatana na baadhi ya waalikwa walioohudhuria ili wathibitishe kuwa hakuna KABRASHA LA ZABUNI HUSIKA LILILOBAKI. Aidha,tukio hili lazima uliandike katika minutes zako kuwa kabla ya ufunguzia Mwenyekiti aliwaomba waalikwa kuwateua wawakilishi ilikwenda kuchukua makabrasha kwenye box na katika box ilo zilitolewa zabuni husika zilizohitajika kufunguliwa siku hiyo tu kama maelekezo ya mwaliko yalivyoelekeza.

Najua aliyewasilisha kabrasha hilo kama atakuwepo katika ufunguzi atahoji kuwa mbona kabrasha lake halipo. Hapo mtampa elimu inayotakiwa ya kwamba Box la zabuni linatumika kukusanyia zabuni mbalimbaali hivyo siku ya ufunguzi zinatolewa zabuni zilizoelekezwa kwa siku hiyo tu.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 57

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty shukurani

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir Wed Nov 13, 2013 8:16 pm

nawashukuru wote waliochangia ktk mjadala huu na waliodai ufafanuzi wa kina ili wapate kuchangia Zaidi,Kiujumla sikujichanganya hata kidogo na tenda zilipokelewa na kuhifadhiwa ktk tenda box zikisubili siku ya ufunguzi , siku ilipofika nikabaini kua kuna tenda haikujieleza kua ni tenda iliowasilishwa ktk tenda gani kati ya tenda zile 3 nilizozitangaza siku moja na nikasema vizuri katika tangazo langu juu ya namna gani watu washiriki ktk zabuni hizi kiuwazi sana. nilishangaa sana kuona tenda hii haikua addressed na ndo nikataka kujua ni nini la kufanya katika hili

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 39
Location : Zanzibar

http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  Rutaihwa Fri Nov 08, 2013 5:04 pm

Mr Zuberi
Hebu tusaidie Je hayo Makabrasha walipoyarejesha yalipokelewa kwa njia ipi?
1) Kuwekwa kwenye Sanduku la Zabuni? au
2) Yalipokelewa katika Ofisi
3) Au kuna namna nyingine uliyotumia wakati wa upokeaji

id2013 wrote:Zuberi,
Hebu jaribu kuweka sawa kwanza maelezo yako ya swali kama vile sijakuelewa. Ila pamoja na kutokukuelewa moja kwa moja nitajaribu anagalau kuzungumzia na kushauri pale panapoonekana nimekuelewa.

Kwa utaratibu ulivyo zabuni hufunguliwa kutokana na jinsi ulivyoitangaza au kuitisha kwa aina yake iwe ya wazi iwe ya Restricted ama quotations ila cha msingi kila itisho lina masharti yake kwa wale walioleta zabuni hizo.
Utarati8bu mzima wa ufunguzi huanzia pale wakati wa kuzipokea kwa kuwa uliweka masharti ya kuleta kwamba kila zabuni iandike namba yake ama maelezo yake ili kwako iwe rahisi kutambua hii ni zabuni ipi na ni ya nini.Kwa hiyo kama wewe mwenyewe ulijichanganya katika muitisho wa zabuni itakusumbua pia katika hatua ya kufungua.

Na kama labda uliitisha ina mgawanyo zaidi ya moja yaani Lots basi utafungua kwa pamoja ila utasioma kila Lot ina kiasi gani hata kama mzabuni ameleta kwa kujumlisha zote na hapo pia inategemea na maelekezo yako wakati wa kutisha kwenye lots hizo.

Nawasilisha maelezo ya awali nikisubiri mchanganuo wa suala la pili kwa zabuni 2 ulizozungumzia.

Rutaihwa

Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 57

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  id2013 Tue Nov 05, 2013 7:34 pm

Zuberi,
Hebu jaribu kuweka sawa kwanza maelezo yako ya swali kama vile sijakuelewa. Ila pamoja na kutokukuelewa moja kwa moja nitajaribu anagalau kuzungumzia na kushauri pale panapoonekana nimekuelewa.

Kwa utaratibu ulivyo zabuni hufunguliwa kutokana na jinsi ulivyoitangaza au kuitisha kwa aina yake iwe ya wazi iwe ya Restricted ama quotations ila cha msingi kila itisho lina masharti yake kwa wale walioleta zabuni hizo.
Utarati8bu mzima wa ufunguzi huanzia pale wakati wa kuzipokea kwa kuwa uliweka masharti ya kuleta kwamba kila zabuni iandike namba yake ama maelezo yake ili kwako iwe rahisi kutambua hii ni zabuni ipi na ni ya nini.Kwa hiyo kama wewe mwenyewe ulijichanganya katika muitisho wa zabuni itakusumbua pia katika hatua ya kufungua.

Na kama labda uliitisha ina mgawanyo zaidi ya moja yaani Lots basi utafungua kwa pamoja ila utasioma kila Lot ina kiasi gani hata kama mzabuni ameleta kwa kujumlisha zote na hapo pia inategemea na maelekezo yako wakati wa kutisha kwenye lots hizo.

Nawasilisha maelezo ya awali nikisubiri mchanganuo wa suala la pili kwa zabuni 2 ulizozungumzia.

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty TENDER OPENING SEREMONY

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir Tue Oct 29, 2013 11:37 pm

Imetokezea ndani ya taasisi yangu nimetangaza tenda tatu siku moja na bahati ikawa na dadeline ya submission ya tenda zote ni siku moja (opening itakua wakati mmoja tenda zote 3)
suala:
1) kampuni zote ilorejesha tenda zile imeomba tenda zote zilotangazwa, ila bahati mbaya kuna tenda 2 haikuainisha ni tenda zilokot aina gani ya tenda kati ya tenda 3 zilotangawa, je wakati wa opening seremony nitazifunguaje nikizingatia naanza kufungua tenda moja moja kwa mujibu wa tenda no:? Naomba muongozo wanaforum mliopo hapa ktk ukumbi wa kukuza vipaji vya taaluma

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 39
Location : Zanzibar

http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

TENDER OPENING SEREMONY Empty Re: TENDER OPENING SEREMONY

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum