Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2020
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 993 registered users
The newest registered user is Yusuf

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 74 on Wed May 15, 2019 7:44 pm

MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA

Go down

MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA  Empty Re: MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA

Post  RJM on Tue Dec 17, 2019 12:46 am

GWK, sidhani kwa mujibu ya terms and conditions za mkata kuishia Polisi ndiyo remedy ya kuchelewa miradi/mikataba. Lingine ni kwamba wanaotoa maagizo hayo siyo sehemu ya mkataba (third party). It's so sad!
RJM
RJM

Posts : 260
Join date : 2009-07-30
Age : 70
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

Back to top Go down

MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA  Empty MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA

Post  GWK on Tue Aug 27, 2019 6:33 pm

"watakaochelewesha miradi sasa kuishia Polisi" Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kwa wingi habari za matukio ya makandarasi kuwekwa ndani au kutishiwa kuswekwa ndani endapo hawatamaliza kazi za mikataba ndani ya muda wanaopewa. Kwa mawazo yangu, kukamilika kwa mradi ndani ya muda hakutegemei utendaji wa mkandarasi peke yake bali wadau wote wa mkataba wakiwemo washauri na wenye miradi kila mmoja kutimiza jukumu lake kwa wakati. Mikataba inavifungu vinavyoelekeza hatua za kuchukuliwa dhidi ya mdau yeyote endapo kuna uzembe wowote katika kutekeleza mkataba. Ni mawazo yangu kuwa adhabu yote ya kuchelewa kwa utekelezaji inatupwa juu ya makandarasi tena adhabu ya kuwekwa ndani ambayo haipo kimikataba.

Nimewahi kuona mshauri amechelewa kuidhinisha michoro kwa wakati na mwenye mali amechelewa kutoa idhini kwa miezi nane lakini mzigo wote ukatupwa kwa mkandarasi ambaye kwa bahati mbaya hakuwa na nafasi ya kujitetea. Niombe wadau wote wa mikataba tutimize majukumu yetu kwa wakati ili kutopelekea viongozi kuingilia kati kwani inaaibisha watendaji wote ambao kimsingi ndio wenye mikataba na taratibu za kuhakikisha kazi zinakamilika kwa wakati
Hayo ni mawazo yangu nakaribisha maoni

GWK

Posts : 55
Join date : 2014-03-24
Age : 53
Location : DAR ES SALAAM

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum