Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2020
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 993 registered users
The newest registered user is Yusuf

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 74 on Wed May 15, 2019 7:44 pm

TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI

Go down

TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI Empty TENDA IKIKOSA MUOMBAJI

Post  thanksme on Thu Jan 10, 2019 10:42 pm

PE inapotangaza Tenda na kukosa muombaji inabidi ijiridhishe pasinashaka kwamba taarifa ya kuwepo kwa tenda husika iliwafikia wazabuni wengi hii itaonekana kwenye list ya bidders walio nunua document. Kama list inaridhisha yaan wengi walinua document basi hapo yaweza kuwa ama specifications zimekua ngumu au muda ulikua mdogo kuweza kuandaa responsive tender

pia kama tender zilizonunuliwa ni chanche sana lakini wazabuni wengi walijitokeza kukagua tender documnet kabla ya kununua na hawakuweza kununua basi hapo yawezekana specs hazijakaa vizuri

pia kama wazabuni hawakujitokeza kabisa hata kuja kukagua document basi hapo ni wazi kua taarifa haukuwafikia vizuri au haikufika kwa wakati

suluhisho kwa namna hiyo huwa ni kufanya mapitio kwenye technical specs na ku tangaza tena upya lakin hapa inabidi kutangaza kwenye media ambayo ina wider circulation.
thanksme
thanksme

Posts : 19
Join date : 2012-04-18
Age : 40
Location : Dar Es Salaam

Back to top Go down

TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI Empty TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI

Post  MKUDE on Thu Jun 21, 2018 5:15 pm

Habari

Hivi ni hatua gani ambazo watu wa manunuzi wanapaswa kufanya iwapo tenda iliyotangazwa inakosa muombaji.

Asante

MKUDE

Posts : 1
Join date : 2014-11-08

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum