Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

October 2024
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 5 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 5 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]

Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

5 posters

Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty Re: NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

Post  Mrzubeir Fri Oct 09, 2015 5:40 pm

ALLY MUNIR wrote:
thanksme wrote:
Nicodem wrote:Nahitaji msaada wa kujua kama procurement process ina exceptions katika kuinvite tenders, yaani kama mtu au office husika inaweza kuconduct procurement process bila kufanya advertising au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na je kama ikionekana zipo, kwenye Procurement Act and regulations zimekuwa provided katika vifungu gani??

Sio kila ununuzi lazima utangaze, inategemea na aina ya ununuzi unaotaka kufanya na gharama yake. soma vizuri regulation na schedules kujua threshold na methods of procurement

ndio zipo procurement methods ambazo zinaexptions in invitation, sio kua tenda ambayo haikutangazwa ina maana kua haikufanyiwa compitition nikiwa na maana kua sio tu kutangaza tenda ndio compitition method. hii ina mana kua other types of compitition are restricted to the specific screened biders available in the approved list. kwaiyo unaweza kuendesha zabunni yenye ushindani unaotakiwa bila ya hata kuitangaza zabuni hiyo as long as the right method of procurement applied...see(Tembelea) PART VI kifungu namba 64 of PPA of 2011 ila kwa sheria unyoitumia wewe haiko hivi nikimaanisha muulizaji anatumia sheria ya serikali ya mapinduzi ya zanzibar ambayo katika sehemu hiyo aloizungumza haipo clear kabisa na ndio moja miongoni mwa sehemu ambazo tumezipendekeza ziangaliwe sana katika mchakato wa kuifanyia Review sheria ya manunuzi ya serikali ya zanzibar unaoendelea. na thanks God kelele na ushauri wetu umefuatwa kikamilifu na consultant ameweka kama tulivyompelekea mapendekezo yetu . katika bill hii about 16 sections are made in relation to our direction as core users and practitioners. Naomba kuwasilisha
Mrzubeir
Mrzubeir

Posts : 3
Join date : 2015-01-29

Back to top Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty kuna njia nyingi sana za kufanya manunuzi inategemea factors mbalimbali. mbili kubwa ni kiasi cha pesa (threshold) pili ni nature and availability ya products. vilevile kuna kitu kama Procuring entity gani inanunua mfano jeshini na ununuzi wa silaha

Post  ALLY MUNIR Tue Oct 06, 2015 3:39 pm

thanksme wrote:
Nicodem wrote:Nahitaji msaada wa kujua kama procurement process ina exceptions katika kuinvite tenders, yaani kama mtu au office husika inaweza kuconduct procurement process bila kufanya advertising au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na je kama ikionekana zipo, kwenye Procurement Act and regulations zimekuwa provided katika vifungu gani??

Sio kila ununuzi lazima utangaze, inategemea na aina ya ununuzi unaotaka kufanya na gharama yake. soma vizuri regulation na schedules kujua threshold na methods of procurement

ALLY MUNIR

Posts : 3
Join date : 2013-04-02
Location : Dar es Salaam

Back to top Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty Re: NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

Post  Chayeka Thu Jul 02, 2015 3:30 pm

Habari yenu:

Kuna sababu nyingi sana zinazoweza pelekea Manunuzi kufanyika bila Kutangaza Zabuni. Jaribu kupitia Sheria mpya vizuri katika sehemu za manunuzi kupitia mzabuni mmoja, Manunuzi ya common used items, na vinginevyo vingi utapata maelezo.

Chayeka

Posts : 2
Join date : 2015-03-15
Location : Dar es Salaam

Back to top Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty Re: NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

Post  thanksme Sat Feb 28, 2015 7:48 pm

Nicodem wrote:Nahitaji msaada wa kujua kama procurement process ina exceptions katika kuinvite tenders, yaani kama mtu au office husika inaweza kuconduct procurement process bila kufanya advertising au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na je kama ikionekana zipo, kwenye Procurement Act and regulations zimekuwa provided katika vifungu gani??

Sio kila ununuzi lazima utangaze, inategemea na aina ya ununuzi unaotaka kufanya na gharama yake. soma vizuri regulation na schedules kujua threshold na methods of procurement
thanksme
thanksme

Posts : 19
Join date : 2012-04-18
Age : 44
Location : Dar Es Salaam

Back to top Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

Post  Nicodem Mon Feb 09, 2015 5:48 pm

Nahitaji msaada wa kujua kama procurement process ina exceptions katika kuinvite tenders, yaani kama mtu au office husika inaweza kuconduct procurement process bila kufanya advertising au kuinvite tenders kwa ajili ya competitions, na je kama ikionekana zipo, kwenye Procurement Act and regulations zimekuwa provided katika vifungu gani??

Nicodem

Posts : 1
Join date : 2015-02-09
Age : 34
Location : Dar Es Salaam

Back to top Go down

NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING Empty Re: NAHITAJI KUJUA KAMA KUNA EXCEPTIONS ZOZOTE KATIKA KUFANYA PUBLIC PROCUREMENT BILA KUINVITE TENDERS AU KUFANYA ADVERTISING

Post  Sponsored content

Sponsored content

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum