Latest topics
Statistics
We have 1676 registered usersThe newest registered user is esagile
Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there is 1 user online :: 0 Registered, 0 Hidden and 1 Guest :: 2 BotsNone
Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm
umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp
3 posters
Tanzania Public Procurement Forum :: MAJADILIANO KWA LUGHA YA KISWAHILI :: MAJADILIANO KWA LUGHA YA KISWAHILI
Page 1 of 1
Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp
Bw Hamidu
Pia unaweza kupitia Matangazo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na 364 lililochapishwa tarehe 6/11/2009, 'The Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board Regulations,2009' na Namba 365'TheThe Procurement and Supplies Professionals and Technicians Code of Ethics and Conduct,2009 ' humo utapata mambo fulani pia ya kukusaidia

Rutaihwa- Posts : 58
Join date : 2011-09-29
Age : 57
Re: umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp
Hamidu,
Nakushauri mashaka yako na swali lako ulipeleke moja kwa moja kwenye website ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi kwa kupitia website yao http://www.psptb.go.tz ambapo pia kuna forum yao kama sikosei ama kuna mawasiliano yao ya moja kwa moja. Na kama upo mikoa ya Karibu na DSM au DSM kwenyewe jaribu kuchukua muda kidogo tu uende pale ofisi zao zipo Keko Mwanga, Store Department premises na kwa sasa inajulikana kama GPSA, HUMO NDIO PIA KUNA OFISI ZA PSPTB.
Sisi humu tutakushauri ila ukielekeza swali lako PSPTB wao ndio watakupa miongozo ya kila aina kwani kuna masuala mengi ya mitaala na sheria iliyoanzisha PSPTB na kwamba unachokisikia diploma kuwa na ulinganifu na shahada utajibiwa huko kwa muda mfupi hata bila kuchelewa.
Nawasilisha.

id2013- Posts : 50
Join date : 2013-07-17
umuhimu wa degree ya ugavi-cpsp
habari zenu, naomba kuuliza kua eti ni kweli kua endapo utamaliza diploma ya procurement na ukienda kufanya mitihani ya psptb na kama ukimaliza pIII utakua na sifa sawa kama na degree ya procure?na kama ndio je vp ktk kutafuta ajira hilo haliwezi kusumbua? na endapo utamaliza p5 kabisa bado kutakua na haja ya kuja kusoma degree tena? samahn kwa usumbufu ila kwa mwenye taarifa ya uhakika naomba nipatiwe jibu
hamidu- Posts : 2
Join date : 2013-10-13
Tanzania Public Procurement Forum :: MAJADILIANO KWA LUGHA YA KISWAHILI :: MAJADILIANO KWA LUGHA YA KISWAHILI
Page 1 of 1
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum
|
|
Wed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com
» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
Tue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM
» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
Tue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM
» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
Thu Dec 12, 2019 5:48 am by pms
» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
Sat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR
» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
Thu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms
» e-Procurement System is now operational
Thu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin
» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
Thu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme
» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
Mon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK