Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

April 2024
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930     

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 11 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 11 Guests :: 3 Bots

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

3 posters

Go down

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo Empty Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  GWK Fri May 09, 2014 5:15 pm

Mr.Zubeir H. Zubeir wrote:tumetangaza kwa ajili ya kufanya "construction proposal" ya tawi moja la wizara huku zanzibar. Wizara tumefanya 'site visit"na Pre- Tender meeting kwa ajili ya kufafanua na kueka sawa mambo pamoja na kujibu maswali yanayhusu ujenzi ule yanayoweza kutokea katika hatua hii ya tenda.
wakati wa kufanya "site visit"na "pre tender meeting" mzabuni mmoja alikuja na suala juu ya namn gani tenda itafanyiwa evaluation"how tender will be evaluated"
suali:
1)mimi nikiwa kama mtu wa PMU ambae nimehudhuria ktk kikao,nini nishauri wakati wa kufanya site visiting?
2)niwafanyeje wale wazabuni ambao hawakuhudhuria ktk site visit wala pre tender meeting ambao hawatoookua na uwezo wa kuwa aware juu ya isssue?
nawasilisha mada kwenu kwa mawazo zaidi  

Pamoja na majibu mazuri yaliyotolewa naona kuna jambo katika bidding document yako ambalo mmojawapo wa washauri ameliona na ndio akafikia kuuliza mtakavyofanya tathmini kulingana na hali halisi aliyoiona site na yaliyomo kwenye RFP/ToR. Nashauri ueleze mshauri huyu swali lake liliegemea wapi ili wadau wachambue kwa ajili ya utendaji wa baadae kwani nadhani zabuni uliyokuwa unaulizia itakuwa imekamilika.

Site meetings zinasaidia sana ambapo mara nyingine inafikia kurekebisha baadhi ya mambo kwa ajili ya kuboresha utendaji na matokeo ya mradi. Mfano soma Procurement Journal no 18 of Tuesday May 6, 2014 pg4. Utaona Taasisi ilivyoamua kuongeza muda wa uwasilishaji baada ya kupata maoni/maswali toka kwa mshauri mmojawapo, katafakari maoni hayo na ikaonekena yatasidia utekelezaji wa mkataba.

Nasubiri kusoma base ya swali la mshauri ndugu yangu

GWK

Posts : 55
Join date : 2014-03-24
Age : 56
Location : DAR ES SALAAM

Back to top Go down

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo Empty Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  id2013 Thu Feb 27, 2014 10:30 pm

Zuberi!
Zingatia yafuatyo;-
-Site visit au Pre-Bid meeting sio kikao cha kupanga mufmo wa kufanya uchambuzi wa zabuni. Wenye kufanya uchambuzi ni Kamati ya uchambuzi ambayo inatambulika kisheria na hata hivyoi kamati hiyo inafanya uchambuzi kwa kufuata vigezo linganifu ambavyo tu viliwekwa kwa bidding document na si vinginevyo
-Site visiti lengo lake sio kuzungumzia jinsi yeyote ya procurement process. Kazi yake ni kufafanua masuala yote yanyohusu tender hiyo hasa kwenye muanisho wa mahitaji kama kwa namna moja au nyingine yameleta utata kwa wazabuni. Pili kutoa ufafanuzi kuhusu uelewa zaidi wa mradi husika kwa wazabuni ili uwasaidie katika uandaaji wao wa maombi husika ya zabuni.
-Mara baada ya kikao hicho PMU andaa minutes za kikao hicho na yaliyojili kwenye kikao na watumie wote walioshiriki na wasioshiriki kwa kuwa mawasiliano yao unayo. Hii inakuwezesha kutoa taarifa sawa kwa wote walioshirki kwenye zabuni hiyo.
-PMU na yeyote yule hata kama wajumbe wa Bodi ya zabuni wangekuwepo pale hawana mamlaka tena ya kupanga jinsi gani uchambuzi wa zabuni ufanyike.

Nawasilisha!

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

Back to top Go down

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo Empty PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  Mr.Zubeir H. Zubeir Sun Feb 16, 2014 2:23 pm

tumetangaza kwa ajili ya kufanya "construction proposal" ya tawi moja la wizara huku zanzibar. Wizara tumefanya 'site visit"na Pre- Tender meeting kwa ajili ya kufafanua na kueka sawa mambo pamoja na kujibu maswali yanayhusu ujenzi ule yanayoweza kutokea katika hatua hii ya tenda.
wakati wa kufanya "site visit"na "pre tender meeting" mzabuni mmoja alikuja na suala juu ya namn gani tenda itafanyiwa evaluation"how tender will be evaluated".
suali:
1)mimi nikiwa kama mtu wa PMU ambae nimehudhuria ktk kikao,nini nishauri wakati wa kufanya site visiting?
2)niwafanyeje wale wazabuni ambao hawakuhudhuria ktk site visit wala pre tender meeting ambao hawatoookua na uwezo wa kuwa aware juu ya isssue?
nawasilisha mada kwenu kwa mawazo zaidi

Mr.Zubeir H. Zubeir

Posts : 12
Join date : 2013-07-22
Age : 39
Location : Zanzibar

http://www.zubeironline.blogspot.com

Back to top Go down

PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo Empty Re: PRE- TENDER MEETING- Naombeni mawazo yenu ya maelekezo

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum