Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

April 2024
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930     

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 2 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 2 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

3 posters

Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  GWK Thu May 21, 2015 9:57 pm

RJM

Nashukuru kwa ufafanuzi mwanana. Ufafanuzi wako una manufaa makubwa kwa jamii hususan inayojihusisha na manunuzi. Tuache mazoea na tusome kwa makini makabrasha ya zabuni na kutekeleza yaliyoainishwa kikamilifu ili tusione tunaonewa pindi taratibu zinapofuatwa.

GWK

Posts : 55
Join date : 2014-03-24
Age : 56
Location : DAR ES SALAAM

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  RJM Mon Mar 30, 2015 1:56 am

Yusuf & GWK

Hapa chini kifungu kinachohusu "all duties, taxes and other levies" - Standard Bidding Documents - Small-Works

15.3 All duties, taxes and other levies payable by the Contractor under the Contract, or for any other cause, as of the date 15 days prior to the deadline for submission of Tenders, shall be included in the rates, prices and total Tender price submitted by the Tenderer.

Yusuf nadhani wewe ni Mkandarasi kwa sababu "niliosa kazi" na GWK ni tajiri (kwenye kutangaza kazi)

Nadhani tatizo ni kwamba 18% ya VAT iwekwe wapi? Kwenye "rate build-up" au "sub-total kwenye BoQ".

Kwa Wakandarasi kama BoQ haina mstari wa "Add VAT 18%" basi kwenye "rate buid-up" yako ongeza "VAT 18%" kwa sababu kutokana na ITB 15.3 utatakiwa kulipa VAT 18%. Kama BoQ inaonyesha "Add VAT 18%" hakuna haja ya kuongeza kwenye "rate build-up" zaidi ya kuongeza kwenye BoQ.

Ushauri wangu soma vizuri "Kabrasha la Sabuni".

RJM
RJM

Posts : 260
Join date : 2009-07-30
Age : 73
Location : What is written without effort is in general read without pleasure

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty AU NI MAELEKEZO YA TAMISEMI KUHUSU VAT HAYAJAELEWEKA

Post  YUSUPH MARARE Mon Jan 26, 2015 5:49 am

Ndg yangu GWK,ulivyoeleza ndivyo nijuavyo na mara zote baada ya kupata jumla ktk BOQ,kwa jumla hiyo ninatafuta VAT yake kisha nina add na jumla yake inakwenda kwenye form of tender.kuna mahala niliosa kazi nilipokwenda kuuliza nikaambiwa sababu ni VAT,pengine nililetewa barua ya correction kukuta ni VAT,pengine nimeambiwa VAT nilipaswa kuijengea ndani ya rate,nikaambiwa nirejee kwenye INSTRUCTION TO BIDDERS Nisome kipengele kinachoanza kwa kusema ALL TAXES,LEVIES...............Sasa nimebaki najiuliza tatizo hili linatokea TAMISEMI kwani TANROADS sijawahi kutana nalo!

YUSUPH MARARE

Posts : 2
Join date : 2015-01-15

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  GWK Thu Jan 22, 2015 6:30 pm

Yusuph,

Naomba ufafanuzi zaidi kuhusu yaliyokusibu. Kwani suala la VAT ni la kisheria na kuna maelekezo kwa baadhi ya bidhaa ambazo hazitozwi VAT kama sheria ya VAT; VALUE ADDED TAX ACT CAP 148 - 2006 R.E Kifungu cha 10 na nyongeza ya pili ilivyoorodhesha. Sioni kama kuna tatizo kama umeweka wazi hiyo asilimia 18 ya VAT kwani kama ni bidhaa ambazo hazitozwi VAT wanaweza kuiondoa kirahisi. Tatizo litakuwa kama hiyo asilimia 18 unakuwa umeiweka kwenye "rates" hawatajua na ni vigumu kupunguza rate ya mzabuni.

Kama nilivyoonyesha awali VAT ni suala la kisheria na hata kanuni za ununuzi za 2013 zimeelekeza hivyo. Nyongeza ya 18 sehemu ya kwanza na ya pili zote zinaonyesha umuhimu wa VAT.

Nasubiri ufafanuzi wako mkuu

GWK

Posts : 55
Join date : 2014-03-24
Age : 56
Location : DAR ES SALAAM

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  YUSUPH MARARE Thu Jan 15, 2015 3:59 am

Naomba ufafanuzi kuhusu sheria za manunuzi kwenye suala la VAT,baada ya kujaza BOQ,na kuongeza aslimia 18 ya VAT,HALMASSHAURI NYINGI imekuwa ni km jambo geni kwao,na hupelekea hata kukosa kazi,tatizo ni nini?

YUSUPH MARARE

Posts : 2
Join date : 2015-01-15

Back to top Go down

HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT? Empty Re: HALMASHAURI ZINA MATATIZO GANI NA WAZABUNI WALIO KWENYE VAT?

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum