Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

May 2024
MonTueWedThuFriSatSun
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 7 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 7 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT

Go down

Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT Empty Halmashauri zina matatizo gani na wazabuni walio kwenye VAT

Post  GWK Fri Feb 06, 2015 1:04 pm

Yusuph
Naona usijumuishe Halmashauri zote kwamba zina matatizo hayo. Kwa tafsiri yangu ulitakiwa kufuata taratibu za kutoridhika na maamuzi yaliyofanywa dhidi yako kama yalivyoelekezwa kwenye ITT. Nimeangalia ITT clause 15.3 (small works) na ITT clause 14.3 (medium & large works) kwa pamoja zinasema "All taxes and other levies paid by contractor under the contract ..............shall be included in the rates, prices and total tender prices submitted by the tenderer". Mara nyingi nimeona kodi ya ongezeko la thamani ikikokotolewa baada ya jumla kama ulivyofanya.

Vilevile jaribu kukagua hesabu zako uone kama ulikokotoa (rates)/bei yako vizuri na kama uliondoa VAT kwenye bei ya vifaa kama bati, siment nk. na hivyo ulivyokokotoa kwenye jumla bei yako ikawa kubwa. Kwa mfano, Kifaa kinauzwa duka la jumla 1,000,000+18% =1,180,000. Ukinunua kifaa hiki kwa ajili ya kuuza kwa rejareja na ukafanya (1,180,000 x %faida)+((1,180,000x%faida)x18%) unakuwa umeuza bei ya juu sana. Kama faida yako ni 20% ungeuza sh 1,670,880/=. Nadhani watu wengi huwa tunasahau na bei zetu kuwa kubwa kuliko inavyostahili. Na kwa kweli elimu ya kukokotoa na kutengeneza rate shindani ni muhimu sana.

GWK

Posts : 55
Join date : 2014-03-24
Age : 56
Location : DAR ES SALAAM

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum