Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
December 2020
MonTueWedThuFriSatSun
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031   

Calendar Calendar

Statistics
We have 993 registered users
The newest registered user is Yusuf

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 3 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 3 Guests :: 1 Bot

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 74 on Wed May 15, 2019 7:44 pm

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI.

Go down

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI. Empty USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA

Post  kenpaulite on Tue Mar 06, 2018 10:00 pm

I agree, new companies face alot of challenges when it comes to tenders, incase your facing challenges on Bid securities and performance bonds, please feel free to contact me ill be of great help as i know you need to free your cashflows, kenpaulite at gmail.com

kenpaulite

Posts : 3
Join date : 2018-03-05

Back to top Go down

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI. Empty USHIRIKI WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI.

Post  Michael Chilongani on Mon Feb 05, 2018 1:03 am

Nungana na Ndugu Elly katika ushauri wa jinsi ya kufanya.

Hata hivyo inapaswa kujikumbusha kuwa Mamlaka (PPRA) huandaa standard tender documents kwa matumizi ya taasisi nunuzi kwa kuzingatia sheria ya ununuzi wa umma na kanuni zake.

Kwa Mujibu wa kanuni ya 9 kanuni ndogo ya 5 ya Kanuni ua Ununuzi wa Umma ya mwaka 2013 (pamoja na marekebisho yake  2016) kipengele cha Eligibility, inasomeka hivi  An eligible tenderer shall provide to the procuring entity evidence of his eligibility, proof of compliance with the necessary legal, technical and financial requirements and their capability and, adequacy of resources to carry out the contract effectively.

Kanuni ya 9(11)b pia anasema hivi ....
A tender to be submitted shall contain the following information:
details of the experience and past performance of the tenderer or of each party to a joint venture on contracts of a similar nature and details of other contracts in hand including details of the actual and effective participation in each such contract;

Pia kanuni ya 9(11)e inasomeka hivi...Bidders shall submit ....reports on the accounting and financial standing of the tenderer or of each party to a joint venture such as profit and loss statements, balance sheets and auditor's reports, an estimated financial projection for the next two years, and an authority from the tenderer or authorized representative of a joint venture to seek references from the tenderer’s bankers;

Kwa maana hiyo, Kumbe standard tender documents zinazotumiwa na taasisi nunuzi zimetohololewa toka kwenye kanuni za Ununuzi ambazo nazo zimetoholewa toka kwenye sheria ya ununuzi mbayo si sheria ya PPRA ni sheria za nchi zihusuzo ununuzi wa Umma.

Pata uzoefu kwa mujibu wa ushauri wa Kombe, Jisajiri GPSA, anza na kazi ndogondogo jiunge na Ma-giant uwe kama sub supplier/sub contractor pata uzoefu, tengeza hayo mahesabu vizuri then tambaa, simama kwa miguu yako, tembea kisha kimbia kabla ya kuruka.

Chilongani 2018

Michael Chilongani

Posts : 33
Join date : 2009-10-20

http://michaelchilongani.blogspot.com

Back to top Go down

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI. Empty USHIRIKI WA KAMPUNI NDOGO

Post  ELLY KOMBE on Thu Nov 23, 2017 4:25 pm

Mada hii ina uhusiano na kitu kama MHITIMU mpya anasaka ajira na kila tangazo la kazi wanadai UZOEFU
Upande wa wakandarasi wana CLASS 7 hadi CLASS 1
Kwanza kampuni mpya zijitahidi kufanya walau yafuatayo:
KUKUBALI KUFANYA KAZI KAMA SUB-CONTRACTORS
KUTAFUTA KAZI NDOGO NDOGO KUJIJENGEA UWEZO NA UZOEFU
KUAJIRI WATU WENYE UZOEFU MKUBWA
KUINGIA UBIA YAANI JOINT VENTURES
Kutamani kubebwa na PPRA ni tatizo maana uzoefu mdogo maana yake una uwezo mdogo na employer hatapenda kujaribu kutumia fedha za taasisi au za umma na kupata matokeo mabaya

ELLY KOMBE

Posts : 5
Join date : 2010-05-17
Age : 53

Back to top Go down

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI. Empty USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI.

Post  fredy msoffe on Thu Nov 16, 2017 7:49 pm

ZINGATIA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU,


NIMEPITIA VITABU VINGI SANA VYA TENDER KUHUSu MASHARIti YA KAMPUNI KUSHIRIKI KWENYE TENDER

MASHARI HAYA YANAZUIA KAMUNI MPYA KUSHIRI KAMA VILE
1) BANK STATEMENT SHOWING CASH FLOW
2) AUDITED  FINACIAL REPORT FOR TWO TO THREE YRS

KWA UPADE WANGU MIMI NIMESHAFANYAKAZI KWA 8 YRS KAMPUNI MBILI TOFAUTI, NA MIMI NDO NILIKUWA NINFANYA KAZI ZA TENDER KWA MARA YA KWANZA KWENY KAMPUNI HIZO,  UPANDE WA LABORATORY EQUIPMENT,

NIMESHASHINDANA KWENYE KWENYE TENDER ZA ICB NCB  NA NIMESHINDA TENZA ZA ABOUT 10BL HADI SASA KAMA TFDA, TBS, AFYA, MINISTRY OF WATER, NIMRI, GCLA, UDOM,  NA KUFUNGA NA KUFUNDISHA JINSIYA KUTUMIA,

SASA NINA KAMPUNI YANGU MPYA, TUPO WATU WATU TULIO IVYA KWENYE TENDER MBALIMBALI,  NA TUMEFANIKISHA USAJILI WA BRALLA KWA 100%,

KWA KAMPUNI MPYA HAIWEZI KUWA NA
1) BANK STATEMENT SHOWING CASH FLOW
2) AUDITED  FINACIAL REPORT FOR TWO TO THREE YRS

SASA KAMA NYINYi PPRA, mmechuua hatua gani kwa kampuni mpya kushiriki na kuweka vigezo nafuu?
maana sisi tuna mtaji na endapa tutashida tender tutapeleka bank performance security kuthibithisha yakuwa tunaweza fanya tender

je kanini  mseweke kifungu hicho kusaidia kampuni changa kushiriki?

naomba mawazo yenu na jinsi ya kampuni mpya kushiri kama imeandikatender vizuri na kilakitu kuwepo kasoro
1) BANK STATEMENT SHOWING CASH FLOW
2) AUDITED  FINACIAL REPORT FOR TWO TO THREE YRS

fredy msoffe

Posts : 1
Join date : 2017-11-16

Back to top Go down

USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI. Empty Re: USHIRIKA WA KAMPUNI MPYA KWENYA ZABUNI.

Post  Sponsored content


Sponsored content


Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum