Tanzania Public Procurement Forum
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Navigation
 Portal
 Index
 Memberlist
 Profile
 FAQ
 Search
Latest topics
» HOW TO REGISTER A COMPANY FOR PPRA PROCUREMENTS
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyWed Dec 18, 2019 9:13 pm by yohanaamon@yahoo.com

» Is non-submission of invalid CRB receipt voucher a major deviation?
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyTue Dec 17, 2019 1:00 am by RJM

» MAKANDARASI KUWEKWA NDANI KWA KUTOKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyTue Dec 17, 2019 12:46 am by RJM

» How Supplier can register in e-Procurement system (TANePS)
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyThu Dec 12, 2019 5:48 am by pms

» Kukosekana risiti ya ununuzi wa tenda
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptySat Apr 27, 2019 6:05 pm by ALLY MUNIR

» IS IT TIME TO THINK OF DEACTIVATING TENDER BOARDS AND INTRODUCE A MECHANISM OF PROCUREMENT PROFESSIONAL OPINION?
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyThu Apr 11, 2019 3:40 pm by pms

» e-Procurement System is now operational
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyThu Apr 11, 2019 3:14 pm by Admin

» TENDA ZINAPOKOSA WAOMBAJI
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyThu Jan 10, 2019 10:42 pm by thanksme

» Attendance of District Treasurer in Council Tender Board meetings
SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU EmptyMon Mar 19, 2018 8:57 pm by GWK

April 2024
MonTueWedThuFriSatSun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930     

Calendar Calendar

Statistics
We have 1676 registered users
The newest registered user is esagile

Our users have posted a total of 1240 messages in 351 subjects
Who is online?
In total there are 4 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 4 Guests

None

[ View the whole list ]


Most users ever online was 225 on Sun Oct 03, 2021 4:24 pm

SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU

2 posters

Go down

SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU Empty Re: SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU

Post  id2013 Thu Feb 27, 2014 9:36 pm

Fredy,
Kwanza nakuunga mkono yote yale uliyoyasema kwenye ''paragraph'' ya 2 mstari wa 4 katika hoja yako.

Pili, mimi ile taarifa niliisoma pia na kitu cha kushangaza hapa ni kwamba Mheshimiwa pia alihusika kuitengeneza bungeni hiyo sheria na sasa nani anamlaumu?, kama hayo yote aliyafahamu yeye si ndiye alikuwa na nanafasi ya kupendekeza vyovyote vile pamoja na kuwa na mwenendo bora wa manunuzi ya umma badala ya kutumia utaratibu uliopo sasa?.

Kwa ujumla sheria ni nzuri pamoja na kwamba mapungufu hayakosekani lakini kama tutakuwa na '' Robust procurement system especially for Contract management system in Public Institutions'' haya yote hayatakuwepo yanayosemwa kwani uangalizi mkubwa na uwajibikaji wa kila mtu ukiwepo tutaepuka yote haya anayoyasema Mheshimiwa.

Tatu, uligusia suala la kulipa kiasi gani katika bidhaa au huduma inategema na ubora wa kifaa chenyewe na kwamba ubora huo pia ni tofauti na udumu wa kifaa chenyewe kwani neno ubora ni tegemezi linatokana nani na wapi an ki vipi unazungumzia ubora. Mfano, ubora wangu mimi wa shati, nione ni rangi nzuri na kwamba linanipendekza haijalishi nitalivaa na litadumu kwa muda gani. mwingine ubora wake ni kwamba lidumu kwa miaka zaidi ya 2 hata kama halivutii.

Kwa hiyo, bei, gharama na kulinganisha na ubora unaosemwa ni lazima uzinagatie gharama za kukinunua kifaa chenyewe, gharama za usafirishaji, bima, kukihifadhi au kukitunza, na kwa ujumla wake upate Cost of Benefits must be greater than cost of total ownership. Kwa nyongeza ya hapo, suala zima la ununuzi pia huhitaji uchambuzi wa kina hasa ukizingatia faida anayoipata mtumiaji, supply risks na impact of that item to an organization, mfano chaki inayotumika mashuleni ukiiangalia inaweza kuwa na thamani ndogo au gharama ndogo kwa kuinunua ila impact yake ikikosekana mashuleni ni kubwa kuliko hata kuwa hata na genereta automatic linagharimu mamilioni ya pesa.

Kwa hiyo kwa kifupi Mheshimiwa anaweza kuwa alikuwa sahihi ingawa inategemea unazungumnzia ubora au bei ya kitu ukilinganisha na vigezo vyote hivyo nilivyovitaja. Sijaisoma yote sheria na kanunzi mpya za manunuzi lakini nimekuwa nikipitia polepole vipengelea ambavyo tunavitumia kila wakati katika utendaji wetu wa kazi wa kila siku, kwa ujumla imekaa vizrui na labda sasa tuwe wavulivu tuitumie kwanza tuone wapi penye gaps, ili marekebisho yafanyike.

Naishia hapa!

id2013

Posts : 50
Join date : 2013-07-17

Back to top Go down

SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU Empty SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA WIZI WA KIUSTAARABU

Post  freddy.mbeyella Tue Feb 11, 2014 4:02 pm



Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 7 Februari 2014 kulichapishwa taarifa yenye kichwa habari kinachosomeka "Sheria ya Ununuzi wa Umma Wizi wa Kiustaarabu" Mwandishi alikuwa akiripoti kuhusu kikao cha Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba na wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wa Mbeya. Aidha mwandishi alieleza jinsi Mh Waziri alivyo kerwa na ufisadi katika shuguli za ununuzi wa umma na ukusanyaji kodi. Alitoa mifano miwili inahusu ununuzi. Mfano mmoja ni kuhusu ununuzi wa soksi alisema nanukuu “mtu binafsi akinunua soski dukani analipa sh. 2,000, lakini akitumia sheria ya ununuzi soksi ya aina ilie ile itanunuliwa kwa sh. 80,000” mfano wa pili ni kuhusu ununuzi wa tiketi ya ndege kwamba ticket ya safari hiyo hiyo kibinafsi inapatikana kwa Sh.1 millioni lakini sheria ya ununuzi ikitumika ticketi inapatikana kwa sh. 4 million.

Nilivyosoma habari ilinigusa sana ukizingatia kauri hiyo inatolewa na waziri mwenye dhamana na sheria hii nikaona vema nilete kwenye jukwa letu tujadili na kuweka mambo sawa. Nijuavyo mimi sheria ya ununuzi na kanuni mpya ndiyo kwanza zimeanza kutumika hivyo basi ni mapema sana kutathimini ubora na udhaifu wake. Ingawa sijapitia sehemu kubwa ya sheria na kanuni naona kunamaboresho makubwa ambayo tukijipa muda wa kutumia ufanisi unaweza kuongezeka. Pili swala ununuzi wa umma una changamoto nyingi zinazohusisha maswala na wadau mbalimbali. Mathalan swala la bei linategemea mambo mbalimbali kama muda wa malipo, unapolipa taslimu au kukopa, mabadiliko ya fedha nje, ubora wa bidhaa n.k. Kwa upande mwingine nasi watekelezaji tunaweza kuhusika endapo tutangalia maslahi binafsi. Jee tatizo ni sheria au watekelezaji? Wenzangu mnasemaje?


freddy.mbeyella

Posts : 74
Join date : 2009-08-25

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum